Rasimu za Viwango hivyo pamoja na fomu ya maoni zinapatikana kwenye tovuti ya ZBS kuptia link hii: https://zbs.go.tz/services/standardization/draft-standards-for-public-comments/ Post expires at 11:59pm on Saturday July 22nd, 2023
Baada ya miaka mitatu ya kuhakikisha Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inathibitika kimataifa, leo tarehe 18 Mei 2023 imepata barua rasmi kutoka katika Shirika la Kimataifa SGS https://www.sgs.com/en-tz @sgsglobal kuwa ZBS imethibiti katika kiwango cha ISO 9001:2015