Rasimu za Viwango hivyo pamoja na fomu ya maoni zinapatikana kwenye tovuti ya ZBS kuptia link hii: https://zbs.go.tz/services/standardization/draft-standards-for-public-comments/ Post expires at 11:59pm on Saturday July 22nd, 2023
Zanzibar, 3 Machi , 2022. Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeanzishwa kwa Sheria ya Viwango ya Zanzibar namba 1 ya mwaka 2011. ZBS imeanza hatua za utekelezaji wa kazi zake rasmi mwaka 2012 ikiwa na jukumu la msingi la kuandaa viwango vya bidhaa na huduma pamoja na kusimamia matumizi ya viwango katika bidhaa na huduma. […]
Taasisi ya viwango Zanzibar (ZBS) imeanzishwa kwa Sheria ya Viwango ya Zanzibar namba 1 ya mwaka 2011. ZBS imeanza hatua za utekelezaji wa kazi zake rasmi mwaka 2012 ikiwa na jukumu la msingi la kuandaa viwango vya bidhaa na huduma pamoja na kusimamia matumizi ya viwango katika bidhaa na huduma. Lengo kuu la kazi za […]