Baada ya miaka mitatu ya kuhakikisha Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inathibitika kimataifa, leo tarehe 18 Mei 2023 imepata barua rasmi kutoka katika Shirika la Kimataifa SGS https://www.sgs.com/en-tz @sgsglobal kuwa ZBS imethibiti katika kiwango cha ISO 9001:2015
For more information, Please download the following documents: 10th Continental Essay Competition Concept Note Registration Form – 10th Continental Essay Competition
Taasisi ya viwango Zanzibar katika hatua zake zake za uandaaji wa viwango imenza kuanda viwango vya huduma za utalii ili kuendana na kasi ya maendeleo ya kuendeleza uchumi kupitia utalii ambapo itakuwa chachu ya maendeleo