ZBS SASA NI ISO 9001:2015 CERTIFIED
Baada ya miaka mitatu ya kuhakikisha Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inathibitika kimataifa, leo tarehe 18 Mei 2023 imepata barua rasmi kutoka katika Shirika la Kimataifa @sgsglobal kuwa ZBS imethibiti katika kiwango cha ISO 9001:2015