KUHUSU OFISI YA URATIBU ZBS PEMBA
ZBS imeanza shughuli za ukaguzi kisiwani Pemba rasmi 01/08/2017 katika bandari mbili za Mkoani na Wete
ZBS ofisi kuu Pemba ina jumla ya ofisi nne kwa sasa (Chake Chake, Wete, Mkoani na Wesha).
Ofisi Kuu Chake Chake : hii ipo Miembeni mkabala na tume ya uchaguzi ya Zanzibar na Bank ya NMB
Wete : hii ipo ndani ya bandari ya Wete ndani ya Jengo la Shirika la bandari
Mkoani : Hii ipo katika mteremko wa kushishia bandarini na nyengine ipo ndani ya
Bandari mkono wa kulia ukiingia bandarini.
Wesha : hii po Wesha ndani ya jingo la shirika la bandari
Jtatu- Ijumaa kwa ofisi kuu Chake Chake
Jtatu – Jumapili kwa ofisi za Mkoani na Wete
MAWASILIANO
Mkurugenzi Dhamana ZBS-Pemba
Miembeni Chake Chake
P.O.BOX 352
Landline +255242452159
Mob; +255 778242627
Land line +255 24 52 44051
Land line +255 24 56059