English English Swahili Swahili

THE REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR

Zanzibar Bureau of Standards

Standards | Quality | Life

TAARIFA ZBS KUHAMA OFISI

TAARIFA KWA UMMA JUU YA KUHAMIA JENGO LA ZBS, MARUHUBI. Zanzibar, 20 Mei, 2022. Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) yenye Makao Makuu yake Amani viwanda vidogo vidogo na Malindi Mjini Unguja katika kuboresha utendaji wake inapenda kuwajuulisha wananchi wote na wadau wake kua ofisi hizo zilizopo Amani na malindi zinahama na kuhamia katika jengo lao […]