Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inakaribisha maombi ya kujaza nafasi mpya kwa waombaji wenye sifa stahili katika ofisi yake iliyopo Unguja kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya kielektroniki kwenye mfumo wa maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:- https://portal.zanajira.go.tz si zaidi ya tarehe 14 Septemba, 2026 saa tisa na nusu Alaasiri.
Kupakua tangazo hilo, tafadhali bofya link ya hapa chini:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 2026/2027
Imetolewa na:
Mkurugenzi Mkuu,
Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS),
P.O.BOX 1136,
Maruhubi, Zanzibar.
Post expires at 3:30pm on Monday September 14th, 2026
Users Today : 29
Users This Year : 16366
Total Users : 24692
Views Today : 32
Total views : 53532
Who's Online : 0