English English Swahili Swahili

THE REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR

Zanzibar Bureau of Standards

ISO 9001: 2015 CERTIFIED

Standards | Quality | Life

ZBS PEMBA

KUHUSU OFISI YA URATIBU ZBS PEMBA

ZBS imeanza shughuli za ukaguzi kisiwani Pemba rasmi 01/08/2017 katika bandari mbili za Mkoani na Wete

OFISI ZA ZBS KISIWANI PEMBA

ZBS ofisi kuu Pemba ina jumla ya ofisi nne kwa sasa (Chake Chake, Wete, Mkoani na Wesha).

MAENEO ZINAPOPATIKANA

Ofisi Kuu Chake Chake : hii ipo Miembeni mkabala na tume ya uchaguzi ya Zanzibar na Bank ya NMB 

Wete                                    : hii ipo ndani ya bandari ya Wete ndani ya Jengo la Shirika la bandari

Mkoani                                : Hii ipo katika mteremko wa kushishia bandarini na nyengine ipo ndani ya

Bandari mkono wa kulia ukiingia bandarini.

Wesha                                 : hii po Wesha ndani ya jingo la shirika la bandari

KAZI ZINAZOTOLEWA

  • Ukaguzi wa bidhaa (bandarini/masokoni na madukani)
  • Uthibiti wa bizaa za viwandani na wajasiriamali

HUDUMA ZINAZOTOLEWA

  • Ukaguzi wa vyombo vya moto
  • Kufanya ukaguzi katika bandari zote za tatu za Pemba ili kulinda ubora wa bidhaa
  • Kuwatembelea na kuwapa miongozo wajasiriamali kisiwani Pemba ili kuhakikisha wanafikia kupata alama ya ubora kwa bidhaa zao wanazozalisha
  • Kufanya ukaguzi masokoni ili kuangalia ubora wa bidhaa
  • Kuchukua na kuwasilisha maabara sampuli za bidhaa mbali
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wataka huduma wetu
  • Kuuza viwango vya bidhaa mbali mbali kwa wahitaji wetu

MUDA WA KAZI

Jtatu- Ijumaa kwa ofisi kuu Chake Chake

Jtatu – Jumapili kwa ofisi za Mkoani na Wete

MAWASILIANO

OFISI KUU CHAKE CHAKE

Mkurugenzi Dhamana ZBS-Pemba

Miembeni Chake Chake

P.O.BOX 352

Landline +255242452159

Mob; +255 778242627

OFISI NDOGO YA UKAGUZI WETE

Land line +255 24 52 44051

OFISI YA UKAGUZI MKOANI

Land line +255 24 56059