Baada ya miaka mitatu ya kuhakikisha Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inathibitika kimataifa, leo tarehe 18 Mei 2023 imepata barua rasmi kutoka katika Shirika la Kimataifa SGS https://www.sgs.com/en-tz @sgsglobal kuwa ZBS imethibiti katika kiwango cha ISO 9001:2015