TAARIFA KWA UMMATUJIKINGE NA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU
UNAOSABABISHWA NA KIRUSI CHA CORONA COVID-19
Quality Assurance

Quality products ensure better health and safety for consumers.

Standardization

ZBS facilitates competitiveness and innovation in Global market.

Quality Control


For genuine infrastructures and environmental protection, fullfill the product requirements.
Pre - shipment verification

ZBS ensures imported products comply with the developed Zanzibar and International Standards.

Product Certification
The quality of products depends on the frequent inspection conducted in the manufacturing premises.

Testing

The good art of laboratory, equipment and devices build confidence to traders, consumers and stakeholders.
Training and Consultancy
With full enthusiasm, ZBS is dedicated to grow together with all stakeholders.

    

      TAARIFA KWA UMMA

Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria namba 1 ya Mwaka 2011. Lengo kuu la kuanzishwa taasisi hii ni kuandaa viwango pamoja na kusimamia matumizi ya viwango hivyo kupitia mifumo ya ukaguzi, upimaji na uthibiti ubora wa bidhaa hizo.

 

ZBS inapenda kuutarifu umma kuwa, utaratibu wa Ukaguzi Ubora wa Gari zilizotumika kabla ya kuingizwa nchini (PVoC) ambao ilianza rasmi 01/08/2016 kupitia kwa mawakala waliopo katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (Jabal Kilimanjaro Auto Elect Mech) na Japan, Uingereza, Singapore na Hongkong (EAA Company LTD) umemalizika tarehe 31/07/2019.

 

Gari zilizotumika zitakazosafirishwa na kuingizwa nchini kuanzia tarehe 01/08/2019 zitapaswa kukaguliwa kupitia Mfumo wa Ukaguzi wa “Destination Inspection”.

 

Aidha, ZBS inasisitiza kwa waingizaji wote wa gari zilizotumika kufata taratibu zilizopo.

Ahsante.

Imetolewa na:

MKURUGENZI MKUU

TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR.

S.L.P 1136,

NAMBARI YA SIMU: +255-24-2232225

Barua pepe: info@zbs.go.tz