TAARIFA KWA UMMATUJIKINGE NA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU
UNAOSABABISHWA NA KIRUSI CHA CORONA COVID-19
Quality Assurance

Quality products ensure better health and safety for consumers.

Standardization

ZBS facilitates competitiveness and innovation in Global market.

Quality Control


For genuine infrastructures and environmental protection, fullfill the product requirements.
Pre - shipment verification

ZBS ensures imported products comply with the developed Zanzibar and International Standards.

Product Certification
The quality of products depends on the frequent inspection conducted in the manufacturing premises.

Testing

The good art of laboratory, equipment and devices build confidence to traders, consumers and stakeholders.
Training and Consultancy
With full enthusiasm, ZBS is dedicated to grow together with all stakeholders.

    

      TAARIFA KWA UMMA

KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA KISIWANI PEMBA

Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 1 ya 2011. Lengo kuu la kuanzishwa Taasisi hii ni kuandaa viwango pamoja na kusimamia matumizi ya viwango hivyo.

(ZBS) inapenda kuutaarifu umma pamoja na wafanyabiashara wote kuwa utekelezaji wa Ukaguzi wa Ubora wa Bidhaa zote ambazo huingizwa na kuzalishwa kisiwani Pemba unaanza rasmi kuanzia tarehe 01.08.2017.

Ukaguzi huu utahusisha bidhaa zote zinazozalishwa viwandani, zilizopo katika masoko na zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kupitia Bandari za kisiwa cha Pemba na Uwanja wa Ndege.

ZBS inawaomba Waagizaji na wazalishaji wote wa bidhaa pamoja na wadau wote zikiwemo Taasisi za Umma na binafsi kutoa ushirikiano wao kwa maafisa wa ZBS katika kufanikisha kazi hii muhimu yenye lengo la kulinda afya na usalama wa watumiaji, kulinda mazingira na kukuza uchumi wa Zanzibar.

Aidha, ZBS inawasisitiza Wazalisahji na Waagizaji wa bidhaa wote nchini kutumia Viwango vya Zanzibar au vilivyoidhinishwa kutumika ili kuimarisha biashara ya ndani na kimataifa na kukuza uchumi wa Zanzibar.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:-

Mkurugenzi Mkuu

Shirika la Viwango Zanzibar

S.L.P 1136

Simu: 255 24 2232225

Nukushi : 255 24 2232225

E-mail: info@zbs.go.tz