TUJIKINGE NA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU
UNAOSABABISHWA NA KIRUSI CHA CORONA COVID-19
Quality Assurance

Quality products ensure better health and safety for consumers.

Standardization

ZBS facilitates competitiveness and innovation in Global market.

Quality Control


For genuine infrastructures and environmental protection, fullfill the product requirements.
Pre - shipment verification

ZBS ensures imported products comply with the developed Zanzibar and International Standards.

Product Certification
The quality of products depends on the frequent inspection conducted in the manufacturing premises.

Testing

The good art of laboratory, equipment and devices build confidence to traders, consumers and stakeholders.
Training and Consultancy
With full enthusiasm, ZBS is dedicated to grow together with all stakeholders.


Information Services
 

SHUGHULI ZA ZBS

Kwa mujibu wa Sheria ya Viwango Na.  ya mwaka 2011, ZBS  ina shughuli zifuatazo:

   1. Kuanzisha, kuweka, kuchapisha,au kufanya marekebisho ya viwango ili viende na wakati.

   2. Kuweka hatua madhubuti ya kwa udhibiti wa viwango,uhakiki na uthibitishaji wa bidhaa,huduma pamja na mazingira.

   3.Kuwa na vifaa kwa ajili ya uchunguzi na upimaji na mazingira ,pamoja na kushajihisha viwango katika uzalishaji viwandani na biashara mengine.

   4.Kuwa na vifaa kwa ajili ya uchunguzi  na upimaji wa bidhaa pamoja na ugezishaji wa vifaa vya upimaji na kubaini usahihi wako kulingana na viwango vilivyo  kubalika

    5.Kutayarisha mipango kwa ajili ya vipimo na vifungashio.

    6.Kufanya ukaguzi,kuchukua sampuli na kupima bidhaa

    7.Kuanzisha na kutunza maabara kwa lengo la kuthibitisha viwango na ubara wa bidhaa.

    8. Kushirikiana na Taasisi za kikanda na kimataifa katika mambo yote yanayohusu viwango.

    9.Kushirikiana na taasisi nyengine na mawakala wa Serikali katika mambo yote yanahusu viwango pamoja na uhakika wa ubora wa bidhaa.

   10. Kukusanya kuzichapisha na kuzitoa kwa watu taarifa zinazohusiana na  viwango.

   11. Kutoa leseni au kuzuia matumizi ya leseni ya matumizi ya alama ya ubora.

   12. Kutoza tozo kwa ajili gharama za viwango,utoaji wa mafunzo na upimaji.

   13. Kutekeleza shughuli nyengine zinaloelekezwa na bodi ya wakurugenzi ya ZBS.


            LEGAL BASIS AND THE NEEDS OF THE EXISTENCE OF ZANZIBAR BUREAU OF STANDARDS